Logo

Yahusu Tanzania, saa 18:05 EAT!

Habari
10 Mei 2016
Usikose mfululizo wa makala za Yahusu Tanzania, saa 18:00 EAT hapa MMBongo!
Yahusu Tanzania, saa 18:05 EAT! Image : 34

YAHUSU TANZANIA
JUMANNE
SAA 18:05 EAT


Yahusu TZ

Kipindi kinachohusu msafiri anayezuru mandhari mbali mbali ya nchi ya Tanzania akigusia sana sana mila na utamaduni wa wenyenji kama vile ngoma za kienyenji, chakula, miondoka, mavaazi tofauti tofauti, usanii na mengineo.  Katika muhula huu wa #AfricaMonth, tunalenga macho mpaka Zanzibar. Tunapelekwa katika vyumba vya makumbusho kuona historia ya Kisiwa hiki.

Pia anatembelea sehemu tofauti tofauti zinazovutia watalii nchini Tanzania huku akiwafahamisha wenyenji umuhimu wa utalii wa ndani. Usikose mfululizo wa makala za Yahusu Tanzania, saa 18:00 EAT hapa MMBongo!