Mizani ya UshambengaGUBU ni nini? kama haujui Gubu ni nini tukutane katika, #MIZANIYAUSAMBENGA watu wetu wa nguvu kabisa Mariam wa Migomba na Dr. Kumbuka wapo tayari kuzungumza na wanaume bila kusahau wanawake wenye gubu. Tazama higlights hapa na usikose kuungana nasi Jumatano saa 1 Usiku kupitia DStv160 pekee
Harusi Yetu
Una ambiwa Bahati ya mtu ipo popote, na bahati ya Bi Khadija alikutana nayo kituoni Kimara, je ilikuaje mbaka Dunia akaanza kumchombeza Khadija? Fuatilia safari ya mapenze na hatimaye ndoa ya Dunia na Khadija. Ungana nasi tushereheke harusi pambe zenye simulizi za kusisimua kila Alhamisi saa 1 usiku kupitia DSTV160 pekee #NIYETU!
Rebeca
Wiki hii kwenye #REBECATZ Baada ya lile varangati , Albert analazwa, rafiki zake tumbo joto, Rebeca nae hali sii hali, Rebeca hakuna anayemwamini amekuwa mkimbizi Je ni nini kitaendela? Usikose #REBECATZ jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usiku….
Wikii hii kwenye huba Tesa anapambana kuokoa Kampuni yake, Carlos Huba la mgeni linamtoa roho, Ruki na Rani wameanza kuhisi Idris kumbukumbu zinamrudia , kibibi na mume wake kuweweseka kwenda mbele, ... kasheshe kwenda mbele ndani ya #HUBATZ. USIKOSE saa 3 Usiku Jumatatu - Ijumaa ndani ya #DStv160
