Marafiki zake Brenda, wafanya mpango ili wote waende Zanzibar. Ingawa hii safari haina nia nzuri kwa Brenda, bado waipanga kama kundi la marafiki wanaoenda kutembea. Kwenye safari yeyote huwaga kuna watu wa aina tatu ambao unaweza kusafiri nao.
- Mama wa kikundi – Regina
Kama mama wa kundi la marafiki, kazi ya Regina ni kusimamia kama kila mtu alikula na alifika kwa muda unao stahiri.
- Mchelewaji – Brenda
Brenda ndio kama mtoto wa hili kundi, yeye ndiye anakuagawa mwisho kufika na hajui hat ani lini safari. Mama wa kundi, Regina ndiye mkumbushi wake na mara kwa mara huwa anasahau vitu kwenye safari.
- Mpangaji – Siti
Siti ndiye mpangaji wa hii safari, yeye ndiye alitafuta ni wapi watakaa na ni usafiri. Siti kama mpangaji ndiye aliye wakutanisha watu wote, kama kiongozi wao hapendi mchezo.
Fuatilia safari ya Zanzibar kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo.