Logo

Vipindi vya tamthilia, kila siku, hapa Maisha Magic Bongo!

Habari
04 Mei 2016
Usikose ni ndani ya Maisha Magic Bongo, saa 19:00 EAT!
Vipindi vya tamthilia, kila siku, hapa Maisha Magic Bongo! Image : 32

SINDANO YA MOTO
JUMATANO
SAA 19:00 EAT

SindanolamotoBongo


Sii kila king'aacho ni dhahabu! Fatilia msemo huu leo ndani ya Tamthilia ya SINDANO YA MOTO saa Mbili Kamili usiku ,Uone jinsi gani Tea anashinda misukosuko ya ndoa yake. Usikose ni ndani ya Maisha Magic Bongo, saa 19:00 EAT!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.