DStv imekurahisishia Maisha kabisa kwa kukuwekea vipindi vyote unavyovipenda kwenye mtandao wa DStv. Hii inamaanisha kwamba, kama mtazamaji wa DStv na Maisha Magic Bongo, unaweza kuangalia vipindi vyote unavyovipenda kwa njia ya mtando muda wowote. Kama kipindi kinacheza muda huo na litaka kuangalia ‘live’ wewe tembelea too tovuti yetu, harafu bonyeza chaneli ya 160 na angalia live. Pia kuna baadhi ya vipindi unaweza kuangalia vipindi yilivyopita kwa njia ya DStv Catch Up.
Fuatilia kundi la Kitimtim kwa kila wiki wakiwa wanajifunza jinsi ya kuishi kama familia ndani ya nyumba moja. Kipindi hiki kimejaa vichekosho vingi kati ya Da Zuu, Masantula, kaka yake na Da Zuu, Zunde pamoja na mke wake Pili.
Kipindi cha Danga, kina husu madada wawili Pipi na Angle pamoja na rafiki yao Mo. Pamoja wanafanya kazi ya kuwa danga matajiri jijini Dar es Salaam.
Huba ni kipindi kinachopenda nchini Tanzania, kipindi hiki kinahusu mapenzi na mambo ambayo watu wanafanya juu ya mapenzi. Kama ukikosa msimu wowote unaweza kuangalia kwa njia ya Catch Up muda wowote.
Kipindi hiki kina onyeshwa saa 4 usiku na watu wengi wanakuwa bado wamelala. Usiwe na mashaka, unaweza kuangalia msimu wote unaohusu familia ya Mzee Ibrahim.
Kama ukiwa busy kwenye wikiendi, usijali. Catch Up inakuruhusu kusherekea wikiendi yao na pia kuangalia Sinia muda wowote.
