Logo

Uncle Nyange hapa MMBongo!

Habari
09 Mei 2016
Wakati Uncle Nyange anafikiri ameyaficha maovu yake, vitendo vyake vinamfuata! Ungana nasi, saa 16:00 EAT katika Maisha Magic Bongo! Ni Yetu!
Uncle Nyange hapa MMBongo! Image : 33

UNCLE NYANGE
JUMATATU
SAA 16:00 EAT


Uncle Nyange hana aibu hata! Ni mtu anayependa wanawake sana! Uncle Nyange anamtia mimba mpwa wake, kisha anamshika mfanyi kazi kwa nguvu. lakini, siku za mwizi ni arobaini! Wakati Uncle Nyange anafikiri ameyaficha maovu yake, vitendo vyake vinamfuata! Ungana nasi, saa 16:00 EAT katika Maisha Magic Bongo! Ni Yetu!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.