Logo
Mengine Zaidi
channel logo dark

Pazia

160TamthiliaPG13

Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Habari
30 Septemba 2022
Fanya hiki kipima joto kuona kama unajua kipindi cha Pazia vizuri!
MMB PAZIA S4 HDTV

  1. Regina ni mtoto wa nani?
1. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Regina ni mtoto wa nani?

Henry na Miriam87%
Henry na Eliza 13%
  1. Ni nani alijaribu kumuua binti wake baada ya kugundua kwamba binti yake alikuwa na mahusiano na mume wake?
2. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Ni nani alijaribu kumuua binti wake baada ya kugundua kwamba binti yake alikuwa na mahusiano na mume wake?

Jemo17%
Eliza83%
  1. Miriam Makeba ni mjukuu wa nani?
3. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Miriam Makeba ni mjukuu wan ani?

Miriam79%
Mdoe21%
  1. Nani aliachiwa uthiri na bibi yake kwa usharti kwamba ni lazima aolewe kwanza?
4. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Nani aliachiwa uthiri na bibi yake kwa usharti kwamba ni lazima aolewe kwanza?

Sakina24%
Waridi76%
  1. Nani ana mke anayeitwa Tunu?
5. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Nani ana mke anayeitwa Tunu?

Sadiq13%
Bidu87%
  1. Baada ya kuachwa na Henry, Eliza alianza mahusiano na nani?
6. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Baada ya kuachwa na Henry, Eliza alianza mahusiano na nani?

Edu5%
Mdoe95%
  1. Henry alizaa nana ni?
7. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Henry alizaa nana ni?

Gloria20%
Mariam80%
  1. Nani alishawahi kutapeli pesa ya chuo?
8. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Nani alishawahi kutapeli pesa ya chuo?

Jemo81%
Regina19%
  1. Brenda alishawahi kuwa na mahusiano nan ani?
9. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Brenda alishawahi kuwa na mahusiano na nani?

Fred81%
Edu19%
  1. Nani ni baba yake na Gloria?
10. Unafahamu kipindi cha Pazia vizuri?

Nani ni baba yake na Gloria?

Mdoe85%
Herny15%

Endelea kuburudika na kipindi cha #MMBPazia kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 1:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160, Maisha Magic Bongo!