Tamthilia ya Jua Kali inapendwa sana nchini Tanzania na kwa sasa hivi inaongoza kuwa tamthilia ya kwanza nchini. Washambiki wa #MMBJuaKali wamekuwa wakiburudika na jinsi tamthilia hii imeweza kuwaunganisha wasanii tokea nchi tofauti ndani ya bara la Afrika. Watanzania washerekea kipindi cha #MMBJuaKali ndani ya mtandao wa kijamii wa Twitter. Soma hapo chini kujua ni nini watazamaji wetu wa #MMBJuaKali wanasema kuhusu tamthilia hii:
Tumeona jinsi Jua Kali ilivyotupeleka Ghana, Kenya na mpaka Afrika Kusini. Endelea kufuatilia maongezi kuhusu tamthilia hii ipendwayo ndani ya mtandao wa jamii wa Twitter, @MaishaMagicTZ kujua tutaenda wapi tena. Pia usikose kuangalia #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Jumapili saa 3:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160!
Mengine: