Logo
channel logo dark

Kumi Za Wiki

160Muziki16

Title: Wiki hii ndani ya #KarmaTZ

Habari
30 Decemba 2020
Tangu mwanzo wa #KarmaTZ kulikuwa na kasheshe baada ya kasheshena wiki hii hamna utofauti.
Karma Promo Image

Karma imejaa vitu vingi na mpaka unajikuta kama ukikosa kuangalia siku moja tu ni kama umekosa muhuli wote. Kati ya kasheshe za Misa na Derrick;

Nama na familia yake; Nancy na mama yake na pia Kivu na mama yake. Ni vigumu kutoa macho mbele ya TV kila Jumamosi na Jumapili saa 3 usiku.

Hapa chini watazamaji wa Maisha Magic Bongo watuambia ni nini kime wafurahisha ndani ya #KarmaTZ wiki hii na maswali waliokuwa nayo:

1. “Lorenzo kamlipua baba yake leo hatari, siri za Baba Lorenzo zikitoka je itakuwaje?” - @minoti01

2. “Desire na Derik wataooana kweli!” - @samiraally1

3. “Kivu punguza kumuonea roh thadei jamanii” - @reymah_tz

4. “Ila nama naye angetafuta mume aolewe ili aache kufatilia mambo yakaka akee” -@prettymo893

5. “Namsubiri Desire kwa Hamu (Nitakula nae sahani moja) - @iam_khizzer

6. “Kwan khizer anamatatizo gani?” - @aunt_shuu2

7. "Ninacheka tu” - @zuuhaunty

8. “Nandy amkubali dr” - @irenediaz67

9. “Wakutanisheni hao Misa na Shamy na familia yote ya Veronika na Desire aambiwe tu” - @yuu_savage

10. “I can’t wait to see Nandy akizirusha na Dina” - @lianlino3012

Na wewe pia kama una hamu ya kujua ni nini kitatokea wiki hii ndani ya #KarmaTZ? Usikose kuangalia kila Jumamosi na Jumapili saa 3 usiku marudio kila Jumatano na Alhamisi saa 2 usiku ndani ya chaneli 160!