ANWAR
SAA 7 UNUSU
ALHAMISI

ANWAR kijana wa kiislam ,anafanya uchunguzi wa imani ya ki Hindu.wanapanga chumba katika nyumba ya mama mmoja masikini mjane mwenye binti mrembo MEHRA.Anwar anatokea kumpenda binti huyo ,lakini ghafla anashtuka kugundua kwamba Mehra ametoroka na UDIT,rafiki yake Anamtaarifu mama yake ambaye anayemjulisha mpwa weake na ndugu zake ambao wanawatafuta. Swahindi muvi, Anwar! Filamu moto moto, kila siku, hapa Maisha Magic Bongo! Ni Yetu!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.