Logo

Swahindi Movie ya Ijumaa, JIMMY!

Habari
29 Aprili 2016
Fuatilia mkasa huu uliojaa mashaka, udanganyifu na mauwaji leo, saa 19:05 EAT hapa Maisha Magic Bongo!
Swahindi Movie ya Ijumaa, JIMMY! Image : 31

JIMMY
IJUMAA, 29 APRILI 2016
SAA 19:00 EAT

Jimmy ni mhandisi wa mitambo na wakati huo huo anafanya kazi katika klabu kama DJ ili kulipa deni aliloacha marehemu baba yake . wakati kila mtu akipigwa na butwaa Jimmy anahukumiwa adhabu ya kifo baada ya kufanya mauwaji.
Lakini ni kwa nini kijana mwenye kizingiti cha maisha afanye uhalifu wa kutisha ? Jimmy pekee ndio anajua ukweli juu ya hili. Akiwa jela kusubiri adhabu yake anagundua kuwa alipangiwa njama matata . Je atakuwa kashelewa au hapana……
Fuatilia mkasa huu uliojaa mashaka, udanganyifu na mauwaji.

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.