Logo

Sho Madjozi ajiunga na kipindi cha Jua Kali!

Habari
31 Oktoba 2022
Kitundu, Iddy na Duke wakutana na Sho Madjozi
Untitled design (6)

Mwanamuziki maaarufu tokea nchini Afrika Kusini, Sho Madjozi, ajiunga na kipindi maarufu cha #MMBJuaKali ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo. Sho Madjozi ambaye anajulikana pia kwa jina lake la kuzaliwa, Maya Wegerif, alikulia jijini Dar es Salaam ambapo alisomea shule ya sekondari. Wakati alivyokuwa Tanzania alijifunza Kiswahili na alivyoanza kuimba, baadi ya nyimbo zake kama, "John Cena" na “Huku” aliziimba kwa Kiswahili. Baada ya Sho Madjozi kuona jinsi Kitundu alivyokuwa akicheza Kenya, alimualika Afrika Kusini kwenye mashindano ya kucheza.

Kitundu ni kijana mwenge kipaji cha kuchezea, lakini alikvyokuwa kwenye mashindano Kenya, alipata bahati mbaya na hakufanya vizuri. Lakini maneja wake, Iddy alimfanyia mpango wakuhudhuria mashindano mengine nchini Afrika Kusini na Sho Madjozi. Kwa bahati mbaya, lugha ya kingereza ilikuwa ina wasumbua sana na waliamua kumualika rafiki yao Duke, ili aende nao Afrika Kusini kama mtafsiri wa lugha. Walivyokuwa kuwa kwa nyumbani kwa Sho Madjozi, walikutana na kijana mwingingine, Kenny, anayetokea Tanzania na Kenny alimpa sana faraja Kitundu ili ajikaze kufanya vizuri.

Je Kitundu atafanikiwa kushida tuzo nchini Afrika Kusini? 

Screenshot 2022 11 01 at 12
Kitundu aenda Afrika Kusini - Jua Kali

Je Kitundu atafanikiwa kushida tuzo nchini Afrika Kusini? 

Ndiyo71%
Hapana29%

Endelea kufuatilia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatato hadi Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya Dstv chaneli 160!