Logo

Sameer leo saa 10:50 jioni

Habari
21 Septemba 2016
Sammeer ataweza vipi kutubu dhambi hili? USIKOSE filamu ya SAMEER, leo saa 10:50 jioni kupitia Maisha Magic Bongo!
Sameer leo saa 10:50 jioni Image : 67

Sameer Imam anayeijua na kuiheshimu dini yake kuliko kitu chochote, hakuwahi kukosa ibada wala madrasa siku zote. Alikua na msahafu na tasbihi mkononi mwake hakuna dua asiyo ijua hakuna swala asiyo swali.

Mwanaharakati2Sept21

Mawaidha yake siku zote yalikua na busara sana. Ijapokuwa ni mdogo, aliweza kukaa na watu wazima na kuwafunduisha kanuni zote za Imani, lakini anajikuta akiingia katika urafiki na watu walio potosha kabisa misimamo wake. Je, Sammeer ataweza vipi kutubu dhambi hili? USIKOSE filamu ya Sammer, leo saa 10:50 jioni! Kupitia Maisha Magic Bongo!