Logo

Ramadhan Kareem kutoka familia ya MMBongo!

Habari
07 Juni 2016
Tunawatakia kila la kheri katika mfungo wenu, na Mola awape rehema.
Ramadhan Kareem kutoka familia ya MMBongo! Image : 44

Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ni Mwezi wa Toba, wakati wa kufanya matendo mema yanayo mpendeza Allah lakini pia kutii mawaidha na mafunzo ya Kiislamu. Huu ni msimu wa kuwapa hisani ndugu zetu na kuwaonyesha wenzetu fadhili zilizofunzwa na nabii mtume Mohammed (S.W.A).
Ramadhan7June


Tunawatakia kila la kheri katika mfungo wenu, na Mola awape rehema.


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.