Logo
channel logo dark

Mzooka

160MusicalPG13

Nyimbo za kumuimbia umpendae siku ya Valentine

Habari
06 Februari 2019
Je, nyimbo gani ambayo infaa siku ya Valentine's day?
valentines day, siku ya wapendanao

Ni mwezi wa mapenzi, tuliwauliza ni wimbo gani ya mapenzi ambaye ungependa umpendae auone kupitia kipindi chetu cha Mzooka. Hizi ni nyimbo 5 ambazo mulichagua:

Nyashinski — Malaika

 

Alikiba —Maumivu Per Day

 

Aslay X Nandy - Subalkheri Mpenzi

 

Willy Paul and Nandy — Njiwa 

 

Mbosso - Nadekezwa

Mzooka ni burudani ya muziki zilizo hit na kupendwa kutoka pande zote duniani. Usikose kuitazama kipindi hiki kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 10 mchana ndani ya DStv chaneli 160 pekee!