NIACHWE
ALHAMISI
SAA 20:00 EAT

Mtoto wa Nyoka ni Nyoka! Mama fulani ako na watoto watatu. Lakini, wawili wao, binti yake Kidawa na ndugu yake Meja wanafanya kazi zao kwa njia za kichini chini. Ufisadi ulikuwa ndio mtindo wao. Huyu mama yao mzazi anawaunga mkono na kula marupurupu ya uhalifu wao! Mbio za sakafuni, huishia ukingoni!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.