Logo

Nandy na Gladness Kifaluka warudi ndani ya Maisha Magic Bongo!

Habari
21 Novemba 2022
Baada ya kujifungua, Nandy na Gladness warudi ndani ya vipindi vyao vya Maisha Magic Bongo.
Untitled design

Mwaka huu ulijaa baraka nyingi ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo. Mwanamuziki na muigizaji ndani ya tamthilia ya #MMBHuba, alifunga ndoa na mume wake Bill Nass na pamoja walimkaribisha mtoto wao wa kwanza.

1669040052 28 screenshot 2022 11 21 at 15.31.58

Wakati huo huo mwigizaji wa  #MMBKitimtim, Gladness  Kifaluka (Pili) nae  aalibarikiwa mtoto wake wa kwanza.

1669040153 28 screenshot 2022 11 21 at 15.27.12

 Maisha Magic Bongo inawapa hongera sana.

1669040838 28 screenshot 2022 11 21 at 16.21.09

Wiki hii , Nandy atarudi ndani ya Huba. Mara ya mwisho kuonekana ilikua  pale, Doris, mke mwenza, alivyombadilisha  kuwa mbuzi baada ya kugundua kwamba Nandy alikua amebeba ujauzito wa Roy. Je itakuaje baada ya Nandy kurudi  anakuja na stori gani ? Fuatilia tamthilia yetpendwa kabisa  #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya DStv chaneli 160 kugundua.

Baada ya muda kutokuwepo ndani ya kipindi cha #MMBKitimitim, Pili atarudi wiki hii baada ya kugundua kwamba Zunde alishapata mke mwingine. Edelea kufuatilia kipindi cha #MMBKitimtim kila Jumatatu na Jumanne saa 3:30 usiku kujiunga na vichkesho vote.

Ni nani umefurahi kumuona akirudi ndani ya #MaishaMagicBongo 👇