Logo

Mwangalio wa Vipindi wiki hii

Habari
25 Septemba 2019
477A0002

Maharusi wetu wikii hii ni Fibian na Getrude. Walikutana katika mazingira ya mihangaiko.Fibian alipomuona Getrude akamuomba nambari ya simu ili wahafamiane vizuri. Je mbinu gani Fibian alitumia kumshawishi Getrude hadi wakafunga ndoa? Tukutane kila Alhamisi saa 1 Usiku na kupitia DStv 160

 

Kwenye #MADHUBALA bado hali ya RK ni tete, Madhu familia yote wasi wasi umetanda...Je RK akipona atabadilika? Je huu utakua mwanzo wa huba lao? Usikose leo #MADHUBALA saa 12 jioni kupitia DSTV!!
http://bit.ly/2lB1PYx

 

Filamu ya Ensulo

Binti mfalme wa ufalme uliojitenga lazima atetee chanzo chao kitakatifu cha maji zidi ya watu wa njee baada ya ugonjwa wa ghafla unaompata mfalme, Fuatilia kisa hichi ijumaa hii saa 12 Jioni kupitia DStv160 ... Nimpya na ni kutoka kwa wanafunzi wetu wa #MULTICHOICETALENTFACTORY! USIKOSE #NIYETU

 

Kwenye #MIZANIYAUSHAMBENGA mada ya wiki hii, vijana wakifanikiwa kwenye Maisha wanakuwa wajeuri, Je ni nini kinachosababisha ? Usikose #MIZANIYAUSHAMBENGA Jumatano saa 1 Usiku usikose! https://bit.ly/2XTyBpw

Kwenye #RBECATZ, Sakina na Bakoli wafumaniwa kwenye hoteli. Je nini kitaendelea? usikose #REBECATZ Jumatatu hadi Jumatatu saa 1:30 Usiku.Usikose!

                                                                                                 Tukutane  kupitia DStv 160