Kapuni
#KAPUNI wiki hii, Brown hatimaye i kaomba msamaha kwa Recho, Nickson anagombana na mama yaek, Robert ameanza kuikatia tamaa familia ya Recho, Koku bado anapelekeshana na Jordan, Joyce tumbo Joto na Brown kaenda kuomba msamaha ke John je wiki ijayo mambo yataendaje? Usikubali kupitwa kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila jumpily kuanzia saa 7 mchana.
Harusi Yetu
Katika #HarusiYetuTZ , watu wa Morogoro mpo? Hodi kwenu wiki hii ni ndoa ya Abdallah na Arafa, walikutana katika mazingira flani hivi, ni wapi na ilikuaje changamoto je? Tukutane Alhamisi hii saa 1 Usiku kupitia DStv160 pekee
MIZANI YA USHANGAMBENGA
Utamu wa mada upate wajua kuchambua mada zenyewe, Jumatano hii ni Mariam VS Kumbuka, je na mada yao ndio hii je ukipewa nafasi ya kuwauliza swali utawauliza nini? Ugana nasi #MIZANIYAUSHAMBENGA! na kila Jumatano saa 1 Usiku kupitia Dstv160
Rebeca
Kenzo mbona atamtafuta Mike mwaka huu! Je sakina atarudiana na mume wake au kuna japo linasukwa? Mahaba mahabani kwenye #REBECA kila jumatatu-Jumatano saa 1;30 usiku usikose
Madhubala
Madhu kachoo betry, Rk roho juu , je huu ndio utakuwa mwanzo wa mapenzi yao? Usikose
Fuatilia zimulizi hili kila Jumatano na Alhamisi saa 12 Jioni
Huba
Kasheshe za #HUBATZ , hazijawahi kumuacha mtu salama, Je nani atabaki salama? Huba la bi Mgeni limepanda bei tena mbele ya bwankasha, Wenye makampuni yao vitimbi mwanzo mwisho. #HUBATZ kila jumatatu-ijumaa saa 3 usiku usikose!