Logo

Mwangalio wa Vipindi wiki hii

Habari
10 Agosti 2019
mb_huba_s5_sc_e92_20190807_seduction


Kapuni
Kwenye Kapuni Maisha ni safari ndefu yenye mambo mengi,tunajionea haya yote, Nickson anatuliza, Dora anatoa somo la mapenzi koku na Joyce hatimaye wameonana... usikose haya kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku kupitia DStv160 pekee!

Harusi Yetu

Maharusi wetu wiki iliyopita Joan na Allan, wawili hawa walikutana katika mazingira ya kazi, Allan akiwa ni trainee na Joan akiwa tayari kaajiriwa, maneno kazini yalikuwepo ya kutosha lakini hayakumvunja moto Allan, je ni mbinu gani alizitumia ili kuuteka moyo wa Joan? usikose #HARUSIYETUkila Alhamisi saa 1 usiku na marudio Jumamosi 12.30, kupitia DStv 160

Rebeca

 Kwenye #REBECA mambo ni moto, Vita baina ya harrison na Kenzo nani mshidi? Naye Daniel, anazidi kupotoka? 
#REBECA kila Jumatatu-Jumatano saa 1:30 Usikose marudio kila jumapili saa 10!

Mizani ya Ushambenga

Kipindi kinaongozwa na Bi Mariam akiwa bega kwa bega na Dr Kumbuka, nia yao kuu ikiwa ni kutupa mzani wa mada mbali mbali zinazotugusa kwa upnde mmoja au mwingine.Wiki iliyopita walena kuhusu ndugu wenye hila haswa pale ndugu yao anapo kuwa mgonjwa tuna somo lenu , na  pengine wengi wetu tushawahi kuyapitia haya #MIZANIYAUSHAMBENGA kila Jumatano saa 1 Usikukupitia DStv160 pekee!

Madhubala
Kwenye #Madhubala RK azindi kujivuna, Madhu ampa masaa ishirini na inne aombe msamaha kwa Padmin. Je RK atatimiza hayo? Fuatilia zimulizi hili kila Jumatano na Alhamisi saa 12 Jioni kupitia Dstv160 pekee! 

Huba

kwenye #Huba Tima ameumua kuhamia kwa Jude, je harusi ipo? Mgeni ,Carlos na Sidi kimewaka, Kashaulo nae hajaachwa nyuma Je Tesa akijua haya itakakuaje? Usikose #HUBATZ kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku kupitia DStv 160 usikose!!