Kapuni
Wiki iliyoipita kwenye #KAPUNITZ , Msibani hali si hali Recho ameshikilia msimamo wake kuhusu kumzika mtoto, Koku hatimaye karudi nyumbani , ndugu zake hata hawashtushwi, Robert nae kaonywa, je ni nini kitaendela ? usikose kuwa nasi kila Jumamosi na Jumapili saa 3 Usiku na marudio yake kila Jumapili saa 7 mchana
Harusi Yetu
Wiki hii kwenye #HarusiYetu maharusi wetu
Kwenye #HarusiYetuTZ , Maharusi wetu ni Juma na Siwema. Bwana harusi ni mpole na sio mtu wa vurugu,mwenye kuzingatia ndini, je naye Bi Harusi , ni mtu wa aina gani,? Fuatlila hadithi yao na usikose #HARUSIYETU kila Alhamisi saa 1 usiku .
Rebeca
Ndoa ya Chidi na Kibibi vituko kwenda mbele je mgeni anataka nini haswa kwa Carlos? Kashaulo kaenda kwa Tesa kujua maswala ya nyumba, majibu anayomba Tesa yana mkosesha Usingizi, na huko Sparkle mambo yanapamba moto Chidi anataka mtoto, Kibibi atamzalia? #HUBATZ kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku Usikose https://bit.ly/2YpXupg
Madhubala
RK azindi kujivuna, Madhu ampa masaa ishirini na inne aombe msamaha kwa Padmin. Je RK atatimiza hayo? Fuatilia zimulizi hili kila Jumatano na Alhamisi saa 12 Jioni
Huba
Kampuni ya FuliJr inakufa, kati ya Tesa na Jude nani amechangia kampuni kufilisika? Steve bado anamtafuta Batuli Bi sikiutu anamsaidia amjue vizuri na Stano mr romantic atafanikiwa kutuliza kiu ya Tesa? kuwa juu mawinguni kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 Usiku usikose!