Logo

MMBongo Swahindi movie, KHWAHISH!

Habari
26 Aprili 2016
Pata kuona yalioyomo hapa MMBongo saa 19:30 EAT!
MMBongo Swahindi movie, KHWAHISH! Image : 22

Amar ni kijana wa Tajiri lakini anamatumaini ya kujitafutia utajiri wake binafsi, badala ya kurithi kampuni ya baba yake. Akiwa katika jitihada za kujinusurisha, anapatana na mrembo aiitwaye Lekha na wanapendana. Muda unafika wa Amar kukutana na babake Lekha aiitwaye Ulhas.

Wanakutana na kuelewana vizuri lakini, maisha yake Amar inabadilika Kabisa! Pata kuona yatakayo tokea hapa MMBongo saa 19:30 EAT!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.