Zena na Betina wanatofautiana sana, hayo yote yababadilika baada ya mama yao kuwakabithi kwa Bibie Jeska, hali wanayo kutananayo inawalazimu kua kitu kimoja. Fuatilia kisa hiki leo saa mbili usiku katika DStv Cahneli 160.
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.