Logo
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

#MMBNimefananaNa – Huba

Habari
12 Mei 2021
Watazamaji wa Maisha Magic Bongo wanafanana na nani?
Screenshot 2021 05 20 at 15

Tangu Doris alivyoaanza kuvaa nywele zaka kama Beyonce watu wengi aliaanza kumfananisha nae. Watu wanasema kwamba kila mtu ana pacha wake duniani na wengine wenye bahati wame fanana na mastaa. Ndani ya #MMBHUba tumeona jinsi Doris na Beyonce walivyokuwa wakifanana kwa mbali na tulitaka kujua ni nani kati ya washabiki wa Maisha Magic Bongo alifanana na mastaa wowote duniani?

Hawa ndio waliotuambia mapacha wao:

@iam_adiah na Victoria Kimani

@neshakaulo na Wema Sepetu na Lulu Diva

@elliona na Wizkid

Yunic Daimon na Mbosso

Dorah Ernest na Yemi Alade

Jallyer Saldath na hamissa Mobetto

Salma Mohammed na Rita Dominic

Tembelea  kujionea mwenyewe. 

Fuatilia thamthilia ya #MMBHuba kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo, chaneli 160.