Tunapenda kuwashuru watazamaji wetu wote wa Maisha Magic Bongo kwa kutufuatilia ndani ya ukurasa wetu wa jamii wa Instagram. Hapo chini kuna posts za Instagram za mwaka huu ziliwachangamsha washabiki wa Maisha Magic Bongo:
1. Ni gani utavaa leo - Huba
2. Nani ungependa kula nae chakula cha jioni? - Pazia
3. Jua ni Kali mnoo - Jua Kali
4. Kwani Nguzu mwenyewe anasemaje?? - Mpali
5. Doris au Beyonce - Huba
6. Wiki nzito ndani ya ICU
7. Kwani penzi lenyewe linasemaje jamani? - Jua Kali
8. Nilienda nikamkuta hayupo - Kitimtim
9. Mary na mama mkwe wake
10. Mabinti wapya ndani ya Pazia
Usikose kutufuatia ndani ya Instagram yetu @maishamagicbongo!