MAUTI
JUMANNE
SAA 2 USIKU

Ukistaajabu ya Musa! Utayaona ya Firauni! Luis na Peter ni marafiki wa chanda na pete. Mama yake Peter anaugua na Luis anamsaidia kumuhudumia kwa matibabu. Kumbe, Mamake Luis anamtamani Peter, rafiki wa mwanae! Anamtongoza na kumrubuni na zawadi za gharama. Luis anagundua na kukasirika kabisa! Anaondoka nyumbani na kuenda kuishi na Mjomba wake. Akiwa huko, anaugua sana. Mamake anakataa kuenda kumhudumia. Luis anaaga dunia. Ungana nasi leo saa 2 usiku kufuatilia kisa hiki hapa DSTv Chaneli 160!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.