Logo
channel logo dark

Mizani Ya Ushambenga

160Uhalisia13

Mtangazaji Mariam Wa Migomba

Habari
25 Oktoba 2019
Screenshot 2019-11-07 at 12.33.15

 

Mariam Migomba alianza masomo  ya Msingi mwaka 1981 mpaka 1987 katika shule ya Msingi Mgulani D'Salaam . Baadaye alijiunga na Masomo ya Secondary na kujiunga na chuo cha utangazaji (TSJ) Tanzania School Jounalism na kuhitimu na diploma mwaka wa 2003 .

Alipata  umaarufu Mkubwa mwaka 2012 ambapo kulikuwa na mashindano ya kumsaka malkia wa Taarab . Pale Mariam alishinda  Taji la Umalkia na mwaka 2014/2015 na pia kuwa Mtangazaji Bora nchini kupitia Radio Takriban 270. 

Mariam alibahatika kupata mafunzo kutoka BBC TRUST FUND na RFI Radio France Internatinal na akatunukiwa Cheti,na kutangazwa Balozi wa OMO. Na mwaka 2015 ailikuwa ni miongoni mwa waanzilishi wa vipindi Maisha Magic Bongo DSTVn na hadi Leo kipindi kinabadilika jina na kuitwa (Mizani ya Ushambenga). Kupitia hiki kipindi Mariam na Dr.Kumbuka kutoa Elimu na ushauri . Kwa hivi sasa Mariam ameamua kwenda kujiongezea Elimu ili afikie kuwa Mwanaharakati mzuri zaidi wa ushauri.