Logo
MMB HubaSM V1 TwitterCover Generic HR
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Mapenzi ya undugu – Huba

Habari
15 Februari 2021
Mapenzi ya undugu – HubaBlurb: Mwezi huu tunasherekea upendo wa aina zote tofauti, kuna ndugu tofauti nah awa ndugu ndani ya #HubaTZ
Mapenzi ya Undugu

Sada na Yakubu

Sada na Yakubu, ni kaka na dada waliokulia kijijini.Baada ya Yakubu kukutana na Nandy na kuamua kuhamia mjini, Sada aliamua kumfuata mjini. Hawa ndugu wako karibu sana lakini tatizo lao kubwa ni kwasababu Sada hataki Yakubu awe na mahusiano na Nandy.

  1. Nandy na Chibu

Ingawa Nandy na Chibu wameishi maisha tofauti baada ya Nandy kurudi kijijini walilazimishwa kuishi Pamoja. Baada ya mume wake wa kwanza wa Nandy alivyowateka Nandy, Sad ana Chibu. Nandy aliamua kutoka kijijini wakati Chibu alibaki.

  1. Miraj na Doris

Miraj na Doris ndio wamegundua kwamba ni ndugu baada ya baba yao kufariki. Wamekuja pamoja kwenye retreat ya Kibibi ili kumuumbua, lakini Miraj apotea.

  1. Kichuna na Pedro

Kwenye retreat ya Kibibi kila mtu aligundua kwamba Kichuna na Pedro ni kaka na dada. Mahusiano kati ya Kichuna na Pedro sio mazuri kabisa na kila mtu aligundua kilo.

 

Usikose kuangalia #HubaTZ kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 3 usiku na marudio ila Jumamosi saa 10:30 jioni. Pia angalia msimu wote wa #HubaTZ ukijiunga na Showmax.