Logo

Maisha Magic Bongo yaongoza kwa kuteuliwa mara 23 ndani ya tuzo la bodi ya filamu Tanzania

Habari
14 Decemba 2022
Mwali, Jua Kali, Pazia, Yalaiti, Huba, Kitimtim na Sinia ni baadhi ya vipindi vilivochaguliwa kwa ubora.
Untitled design (2)

Mwaka huu tunaingia mwaka wa pili wa tuzo za filamu kupitia bodi ya filamu nchii Tanzania (Tanzanian Film Festival Awards). Lengo kuu la bodi ya filamu ya Tanzania ni kuleta maendeleo ndani ya tasnia ya filamu kwenye taifa. Tuzo la mwaka huu litafanyika Jumamosi hii, tarehe 17 Desemba na Maisha Magic Bongo ilifanikiwa kuingia ndani ya vipengele tofauti kwa waigizaji wetu na pia vipindi:

Mchekeshaji Bora

 

Gladness Kifaluka – Pili (Kitimtim)

 

Muigizaji Bora wa Kike - Chaguo la watazamaji

 

Getrude Mwita - Kibibi (Huba)

Flora Mvungi - Mwanahawa (Mwali)

Wanswekula Zacharia - Tuma (Jua Kali)

Nasmah Hassan - Regina (Pazia)

Jackline Wolper - Miriam (Pazia)

Ndubangwe Misayo - Zuwena (Yalaiti)

 

Muigizaji Bora wa kiume - Chaguo la watazamaji

 

Othman Njaidi - Jemo (Pazia)

Jacob Stephen - JB (Huba)

Ahmed Shifta - Jefa (Mwali)

Abbot Mbandwa - Frank (Jua Kali)

 

Muigizaji Bora Mpambe wa Kike

 

Coletha Raymond - Mary (Jua Kali)

Sia Tarimo - Eva (Jua Kali)

 

Muigizaji Bora Mpambe wa Kiume

 

Stanley Msungu – Mr Thomas (Jua Kali)

Jackson Kabirigi – Semindu (Mwali)

Fredy Kiluswa – Marcus (Sinia)

 

Muigizaji Bora Chipukizi wa Kiume

Raidanus Vitalis - Kitundu (Jua Kali)

 

Muigzaji Bora wa Kike

Irene Paul – Tanasha (Yalaiti)

Tamthilia Bora

Aziz Mohamed – Huba

Leah Mwendamseke (Lamata) – Jua Kali

Mutran Tamim – Mwali

 

Kichekesho Bora (tamthilia)

Gladness Kifaluka – (Kitimtim)

 

Kichekesho Bora

Gladness Kifaluka – (Kitimtim)

 

Washabiki wetu wanaweza kutupia kura ndani ya vipengele tofauti, bonyeza 👉 HAPA. Maisha Magic Bongo inawatakia kuwapongeza wote walioteuliwa!