Logo

Mahojiano ya kipekee! Machache ya Mariam!

Habari
30 Agosti 2016
Kwa mengi zaidi ungana nasi kila Jumamosi katika kipindi cha MCHIKICHO WA PWANI kupitia DStv160!
Mahojiano ya kipekee! Machache ya Mariam! Image : 61

Mariam afunguka akidadafua mengi kuhusu yeye binafsi akitueleza msukumo wake katika mada zake za kila siku na pia yeye kama mwanamke akituweka wazi juu ya nia yake kubwa ya kuwajenga wanawake wenzake waweze kujitambua na kujithamani , hakuwaacha wanaume pia alikua na machache ya kuwarekebisha haswaa katika maswala ya mapenzi. Kwa mengi zaidi ungana nasi kila Jumamosi katika kipindi cha MCHIKICHO WA PWANI kupitia DStv160!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat