KARIBU VANESSA MDEE!
Mwimbaji maarufu wa Bongo flava Vanessa Mdee anawaptia maripota wa DStv Tanzania mahojiano kuhusu collabo yake na waimbaji-wenza kutoka Kenya na 2Face wa Nigeria.
Project yao inayoitwa DISRUPTION AFRICA TOUR itakuwa Nairobi Kenya. Mwimbaji huyu ndiye aliyetukabidhi tuzo la muziki moto moto kama single yake " Hawajui' na 'Come Over' Vanessa anawafungulia roho mashabik wake na kuongea juu ya maisha yake, mitindo ya mavazi na ibada za kila siku akiwa nyumbani kwake!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.