Logo

King Kiba ameangusha single Mpya!

Habari
20 Mei 2016
Single Mpya ya Ali Kiba featuring M.I "Aje" ni ya hali ya juu! Hapa MMBongo, tunapata muziki direct kutoka chungu! Tazama #Mzooka kila Jumatatu hadi Jumamosi saa 09:00 EAT!
King Kiba ameangusha single Mpya! Image : 41

Single Mpya ya Ali Kiba featuring M.I "Aje" ni ya hali ya juu! Hapa MMBongo, tunapata muziki direct kutoka chungu! Tazama #Mzooka kila Jumatatu hadi Jumamosi saa 09:00 EAT!

Ali kiba1

King Kiba amezuru Afrika nzima akirekodi muziki na wasanii kutoka Nigeria, Kenya na Afrika Kusini. Burudika na video yake Kali!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.