Kipindi cha leo kiagusia matayarisho ya harusi kwa mila na desturi za Watanzania. Tunaona umuhimu wa michango na kuishi kwa amani katika Jumuiya yako.Tunawaletea mfululizo wa vipindi vifupi vya makala mbali mbali kuhusu Tanzania.
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.