Logo

Jua Kali yaingia kwenye tuzo za Zikomo!

Habari
21 Septemba 2022
Kwa Mara Nyingine tena Tamthilia yetu pendwa JUA KALI imefanikiwa kuingia kwenye tuzo kubwa za ZIKOMO AFRICA
Jua Kali Zikomo Awards FB Post

Tunaomba uchukue dakika chache kuweza kuipigia kura Tamthilia ya JUA KALI Ili iweze kupata ushindi katika tuzo hizi za kimataifa.

  1. Ni rahisi sana unaingia kwenye link hii https://www.zikomoawards.com/vote/
  2. Kisha una scrow down mpaka utakuta kipengele Cha BEST MOVIE/SERIES OF THE YEAR AFRICA.
  3. Utaona jina la Tamthilia JUA KALI Kisha uta bonyeza hapo kwenye jina.
  4. Itakuja fomu ambayo wewe mpigaji kura utajaza Jina lako, email yako na namba ya simu Kisha utabonyeza neno send.
  5. Baada ya kumaliza hapo utakuja ujumbe wa THANKS FOR VOTING ...hapo utakua umemaliza zoezi Zima la kupiga kura.

Link kwa Bio ya @juakali_tamthilia na @lamataleah

ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI SAANA🙏🏾

Pia usikose kuangalia kipindi cha #MMBJuaKali kila Jumatano hadi Ijumaa saa 3:30 usiku ndani ya DStv chaneli 160!!

Tuzo la Zikomo Afrika!

Je umeshapigia kura #MMBJuaKali? Tuambie hapo chini

Ndiyo, nimeshapiga kura23%
Hapana, nitapiga kura sasa hivi77%