maisha magic bongo logo

Je wewe ni mnunuaji waina gani ndani ya msimu wa sherehe?

Habari01 Januari 2022
Sherehe za Kristmas na mwaka mpya zinaanza kukaribia na watu wengi wanaanza kuwa wanaenda madukani kutafuta zawadi, au kununua vyakula na bidha kadhalika. Fanya hiki kipima joto ili ujue kati ya hawa waigizaji wa Maisha Magic Bongo, ni nani unafanana nae kwenye ununuaji:
Special Sale Spark Twitter Post

Pili (Kitimtim) 

Pili ni mtu ambaye anapenda kununua vitu kwa ghafla, yeye akipata pesa tu anakimbia dukani. Hana shida na kuangalia bei ya vitu, kwake yeye ni kupendeza tuu.Kumbuka kipindi alivyopata pesa toka kwa Msauzi, alikimbilia kununua nguo za mitindo mpaka pes azote ziliisha.

Doris (Huba) 

Kwenye kununua vitu, Doris ni mpole sana. Kama wewe unanunua vitu kwa aina Doris anavyofanya, unaanza kwanza na kuangalia maduka tofauti na bei tofauti. Harafu ukishakuwa na uhakika unachagua bei po ana sehemu uliopenda. Kumbuka kipindi Doris alivyogundua anaujauzito aliaanga baadhi ya sehemu kabla ya kuamua.

Angel (Danga) 

Angel ni mbahili sana, hapendi kutumia pesa yake kiba uhakika. Kama wewe kwa aina Angel anavyofanya, inaama kwamba haupendi kutumia pesa yako ovyo ovyo. Kipindi amabacho Angel alivyokuwa anatafuta nyumba, kuhakikisha usalama aliamua ku fanya mpango aishi bure bila kulipa kwanza kabla ya kuinunua nyumba.

Sidi (Huba) 

Sidi ni mnunua juu ya kufanya biashara, kama wewe unanunua kama Sidi, inamaana kutatafuta bei poa ili uweze kuuza tena. Tuliona jinsi Sidi alivyokuwa akitumia pesa tuu juu ya kutengeneza pesa kwenye duka lake.

Tuambie wewe ni nani?