Logo
Yalaiti HDtv 1920x1080
channel logo dark

Yalaiti

160Drama16

Je unamtambua huyu? – Yalaiti

Habari
15 Agosti 2022
Sura mpya yaingia ndani ya kipindi cha #MMBYalaiti!
Untitled design (8)

Kuanzia wiki hii, mama yake na Tanasha atajiunga nasi ndani ya kipindi cha #MMBYalaiti. Mama Tanasha alimlea Tanasha peke yake, ni mwanamke mwenye umri wa kati na anayependa kujituma. Anampenda mtoto wake, Tanasha, lakini ana wasiwasi kwamba hawezi Tanasha hawezi kuchagua mume wa maisha. Kwa sasa hivi Mama Tanasha, anatoka Marekani alipokuwa akifanya biashara na pia utalii.

Ana bonge la nyumba ndani jijini Nairobi na ana mahusiano na Halidi. Mama Tanasha hana mahusiano ya kimapenzi na mtu yoyote. Kwa sasa hivi anamtumia Halidi, ambaye alishawahi kuwa mpenzi wa Tanasha na Tanasha alimuacha na hilo jambo lilimkasirisha sana mpaka akaamua kujaribu kumuwekea sumu na kumuaa lakini hakufanikiwa.

Je umeshamuona Mama Tanasha? 

Screenshot 2022 08 18 at 15
Je umemuona Mama Tanasha? - Yalaiti

Tuambie kama umeshamuona Mama Tanasha ndani ya kipindi cha Yalaiti?

Ndiyo52%
Hapana48%

Usikose kuangalia #MMBYalaiti kila Jumatatu hadi Ijumaa saa 4 usiku na marudio kila Jumapili saa 5 usiku.