JAAL THE TRAP
JUMATANO
7.30 ALASIRI
Ajay anapata ajali kutokana na uzembe wa Neha Pandit, inayowasababisha wakutane tena na kuwa wapenzi. Ajay anagundua kuwa Neha ni mjane lakini anamshawishi mkwe wake awabariki. Lakini mambo yanabadilika na Ajay kujikuta katika mtego baada ya kugundua kuwa Neha ni gaidi. Fuatilia mkasa huu leo saa saba na nusu alasiri katika DSTv Chaneli 160!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.