Kipindi cha #MMBHarusiYetu kimekuletea harusi momba nchini Tanzania. Kuanzia mwisho wa mwezi tunakuletea mapumzisho ya vipindi vya #MMBHarusiYetu wakati tukiwa tunawaletea vipindi vipya ndani ya muda huo. Tumekuandalia orodha ya harusi zilizo tamba mwaka huu ndani ya kipindi cha #MMBHarusiYetu:
Catherine na Peter
Asia na Hemedy
Defina na Japhet
Kwa sasa hivi endelea kuburudika na vipindi vilivyovuma sana ndani ya msimu huu wa #MMBHarusiYetu kila Alhamisi saa 1 usiku ndani ya DStv chaneli 160!