Logo

Happy Valentine's Day!

Habari
13 Februari 2020
Je, utasherehekeaje siku hii?
valentines day, happy valentines day

Siku ya wapendanao ni sherehe inayoadhimishwa ya kila mwaka kote ulimwenguni. Ni siku ambayo wapendanao wanasherekea upendo na urafik kati yao. Ni jambo la kawaida kuona wapendanao wakitumiana kadi na maua au zawadi kama vile chokoleti au vileo. 

Show zetu za Maisha Magic Bongo zimejaa programu ambazo zinakupa burudani bila kikomo za huba na upendo. Waigizaji wetu maarufu katika shows kama vile Huba, Madhubala, Kapuni, Sarafu na mengine, wanapendwa sana kwa ajili ya uigizaji wao wa hali ya juu.  Hivo ndiyvo tukawauliza mashabiki wetu hivi:

Je, kati ya hawa waigizaji wote katika chaneli zetu, ni nani ungependa awe Valentine wako?

Majibu ni haya:

Siku ya wapendanao njema!