Logo
MMB PaziaSM TwitterCover
channel logo dark

Pazia

160Tamthilia13

Gloria apata tuzo la "mtoto mbaya" kabisa – Pazia

Habari
11 Oktoba 2021
Gloria ataka kumuua mama yake
Screenshot 2021 10 11 at 18

Mtoto ni kama mama, hasa binti, watu wengi wanasema kwamba wanafuata hatua za mama. Gloria mtoto pekee wa Eliza, alilelewa peke yake na bila baba. Mahisiano kati ya Eliza na Gloria yakuwa mazuri sana, ingawa tu Gloria alipenda kudeka sana.

Ingawa Eliza alikuwa akimpa Gloria kila kitu, tamaa ilimbana sana Gloria na Gloria alianza kutembea na Henry. Herny ni mume wa kwanza wa Eliza na Eliza alikuwa bado anampenda, na Gloria alijua hili jambo lakini bado alizidi kuendeleza mahusiano na Henry.

Eliza alivyogundua kwamba Henry na Gloria walikuwa na mahusiano, alikasiri na kuvunjika moyo. Kulipiza kisasi, alamua kumwambia Gloria kwamba Henry ndiye baba yake mzazi na alimlazimisha Henry kumuoa.

Baada ya ndoa, Eliza na Gloria walihamia kwa Henry kuishi naye. Kipindi hicho, Gloria aliumwa na alilazwa hospital kwa muda mrefu. Wakati alivyokuwa amelazwa Gloria aliamua kumshawishi Henry iliwaanze mahusiano tena. Kuliko kumtembelea mama yake aliaambia manurse wamuache tuu afe. Kwa bahati nzuri Eliza alipona na kurudi nyumbani, lakini siku ya kwanza tuu aligundua kwamba Eliza alikuwa ameshahamia chumbani kwa Henry na nguo zake za ndani zilikuwa humo.

Hili jambo lilimpandisha presha eliza na alizimia, Gloria asubiri tuu maiti nah ana hamu ya kumona. Fuatilia #MMBPazia kila Jumatatu hadi Jumatano saa 1:30 usiku ndani ya Maisha Magic Bongo!