Logo
channel logo dark

Jua Kali

160Tamthilia16

Frank azumza mahusano yake na Naira ndani MMB Instagram Live – Jua Kali

Habari
26 Februari 2021
Abbot, mwigizaji wa #JuaKaliTZ ajiunga na Insta Live ya Maisha Magic Bongo kupiga story na washabiki
Screenshot 2021 02 26 at 13

Abbot au kama nanavyojulikana ndani ya #JuaKaliTZ kama kaka Frank alikuwa ndani ya Instagram Live ya chaneli yay a Maisha Magic Bongo akiongelea kuhusu mahusiano yake na Naira. Watazamaji wa #JuaKaliTZ walikuwa na maswali mengi kwake na hap ani baadhi ya hayo maswali ambayo kaka Frank aliyajibu:

  1. Kwanini unamtesa sana Naira?

“Tatizo sio kwamba namtesa Naira, il ani kwamba muda huu mahusiano yetu hayaja kaa saw ana kwa sababu hiyo tuko kwenye mgogoro mkubwa na kaka Frank hajui jinsi ya kuongea nae vizuri.”

  1. Kwani wewe ni mtu ambaye unaweza kumpiga mwanamke kwa kweli  ukitoa kuigiza?

“Hapana, kama unanijua kwa karibu utajua kwamba mimi ni mtu mkarimu sana. Lakini kama jinsi ninavyo igiza inakufanya umchukie Frank sana ina maana kwamba nimefanya kazi nzuri kuigiza bwana.”

  1. Je unapenda jinsi unavyomfanya Naira?

“Hapana, sio kitu kizuri lakini ni kitu muhimu kukionyesha kwa sababu ni hali halisi ambayo inatokea kwenye jamii yetu. Kuna wanaume wengi ambao wanaendelea kuwa nyanyasa wakina dada zetu hivyo na muhimu kuonyesha kwa sio kitu kizuri”

  1. Kwanini haujatulia na Naira?

“Kwa kweli nampenda sana Naiira, ni fanye nini? Ni mwobe msamahaa?”

Fuatilia Maisha Magic Bongo ndani ya mtandao wa jamii wa Instagram (@maishamagicbongo) ili uzidi kujua matukio yote ndani ya chaneli yetu.