Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.
TAMAA
IJUMAA
SAA 17:00 EAT
Juliet anaishi maisha hatari na kutumia vibaya utajiri wa ndugu yake. Mwishowe, anapanga njama na kumsaliti ndugu yake fedha hizo, jambo linaloweka maisha yao katika hatari.
AALAAP
IJUMAA
SAA 19:30 EAT
Rahul na marafiki wake ni wana Muziki. Maisha yao yanaendelea bila tashwishi na wanapata umaarufu! Baada ya muda, hatma inawapiga marufuku na kwa bahati mbaya Rahul na marafiki wanahutumiwa kuwa wagaidi! Ungana nasi jioni ya leo kupata kisa hiki hapa MMBongo!