Logo

Filamu za leo hapa MMBongo! Ni Yetu!

Habari
26 Aprili 2016
Pata uhondo wa filamu za leo kutoka saa 18:55 EAT hapa MMBongo! Ni Yetu!
Filamu za leo hapa MMBongo! Ni Yetu! Image : 25

Msimu huu wa Krismasi, tunawaletea filamu za kusisimua kila siku hapa MMBongo. Pata uhondo wa filamu za leo kutoka saa 18:55 EAT hapa MMBongo! Ni Yetu!

Mtaro21Dec1

Adam anatia bidii kumshawishi Lucy arudi nyumbani lakini Lucy amekata shauri kutengamana naye. Adela naye anamtake Makubi, na vile vile, Makubi amamua kusonga mbele! Masaibu ya mapenzi leo katika kipindi cha Mtaro saa 18:35 EAT hapa MMBongo!

 

PRINCE WILTH

Viumbe roho au Majini wamekuwa wakiishi miongoni mwa binadamu tangu dunia yao iharibiwe na mchawi mwovu.Lakini mwovu huyu sasa amerudi kutafta damu safi ya mwanamke, ni nani ameapa kumlinda? Leo katika MMBongo Movies, tunanwaletea filamu ya thriller, Prince Wilth saa 18:25 EAT.

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.