Logo

Filamu ya MMBongo Wiki kati, ZID!

Habari
26 Aprili 2016
Ungana nasi kesho Jumatano saa 22:00 EAT hapa MMBongo!
Filamu ya MMBongo Wiki kati, ZID! Image : 16

ZID
JUMATANO
10 FEBRUARI 2016
22:00 EAT
ZID2Feb9.jpg


Katika filamu ya leo, Ronnie ambaye ni mwandishi anahamia jiji jipya kutimiza zoezi fulani. Huko, anapatana na binti mrembo aiitwaye Maya ambaye ni jirani wake. Wanapendana sana, lakini muda ukipita, utu wake Ronnie unatokea! Ungana nasi kesho Jumatano saa 22:00 EAT hapa MMBongo!


Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.