Logo

Filamu ya Ijumaa, MMBongo!

Habari
25 Aprili 2016
Fuata kisa hiki saa 19:30 EAT Ijumaa hapa Maisha Magic Bongo!
Filamu ya Ijumaa, MMBongo! Image : 9

YAKIMBIE MAPENZI
31 MACHI 2016
19:30 EAT

Jack ni bwana asiye mwaminifu. Isitoshe, anamtia mimba mshichana ambaye ni mwanafunzi aiitwaye Najima! Jack anagundua ya kwamba huyo Najima ni bintiye aliyemtupa akiwa bado hajazaliwa! Fuata kisa hiki saa 19:30 EAT Ijumaa hapa Maisha Magic Bongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.