2 Septemba – My Woman
Baada yam toto wake kushtakiwa kikosa kwa mauaji, mjane aanza uchunguzi wake mwenyewe kumpata muuaji wa kweli.
9 Septemba – Mahasla
Majambazi wawili waandaa mpango wa kuiba mali ya mjukuu.
16 Septemba – Maid of Honour
Mpelelezi mkali ajiunga na mpelelezi wakibinafsi kutafuta mjuuaji wa maid wa bibi harusi, aliyeuliwa kwenye siku ya harusi.
23 Septemba – Mapipa
Baada ya kuachwa na wafanyakazi wao wa misaada, Watoto wa mtaani waamua kujitengenezea juiya yao wenyewe.
30 Septemba – Two Let
Watu wawili watapeliwa na mwenye nyumba baada ya kupewa nyumba moja ya kukodi.
Endelea kufuatilia filamu mpya za Maisha Magic Movies kupitia DStv chaneli 141!
Mengine: