
Janet ni binti mrembo sana aliyebarikiwa kuwa wazazi wake ni matajiri. Binti huyu ako katika shule ya upili, walakini, hana haja na shule kamwe! Haoni faida ya kuhudhuria mafunzo darasani, na maish ayake imekuwa ni kama ya ukahaba! Anapenda kuwa na wanaume tofauti! Daniel na Coco ni wapenzi wake, mmoja ni mzee mwenye familia na boma lakini ni kama amerogwa na Janet! Coco ni muhalifu anayeuza madawa ya kulevya!
Mbio za sakafuni, huishia ukingoni! Janet anapatwa na janga linalowaangusha yeye mwenyewe na wapenzi wake wote!
#DANIJA leo, saa 2 uisku hapa Maisha Magic Bongo! Ni Yetu!