Hapa Maisha Magic Bongo burudani ni moto kila siku tukiwaletea filamu, tamthilia na vipindi vya kusisimua kila siku, masaa ishirini na nne, bila Kikomo!
Wiki hii, tumewaandalia mazuri kuanzia filamu mpya, tunawapa fursa ya kuingia shindano la Harusi Yetu na uhondo wa mada mufti kutoka Mami Originali, Bi Mariam! tusisahau vivunja mbavu katika KTIMTIM! Soma Zaidi!
FILAMU YA LEO: HAJAFIKA MBALI:
JUMATANO SAA 8 MCHANA
Kapoza anapewa kazi ya kwenda kumuua shemeji yake, anafanikiwa na kuondoka eneo la tukio, kabla hajafika mbali Korongo anatokea eneo la tukio na kesi inamgeukia yeye!

HARUSI YETU EPISODE 16:
ALHAMISI, SAA 1 USIKU
KESHO na kila Alhamisi hapa Maisha Magic Bongo ni Champy na Rajab! Ungana nasi saa 1 usiku katika #HarusiYetuTZ kupitia DStv chaneli 160! Rajab kapatikana na bibi yake akimtongoza binti mwingine! Itakuwaje? USIKOSE!

COKE STUDIO AFRICA
IJUMAA SAA 2.30 USIKU
Wasanii maarufu kutoka bara la Afrika wanajumuika kutoa muziki halisi wa Kiafrika! Kila Ijumaa, saa 2.30 usiku hapa Maisha Magic Bongo! Chemi chemi ya burudani wa kiasili!

KITIMTIM
IJUMAA, SAA 1.30 USIKU:
Visa, visanga na vichekesho kila Ijumaa katika #KITIMTIM!

Kupata habari zaidi, temebelea kurasa zetu za Facebook, Twitter, Instagram na tovuti yetu: maishamagicbongo.tv