Logo

Brother & Sister, filamu ya leo hapa MMBongo!

Habari
25 Aprili 2016
Tazama kisa hiki leo saa 12:20 EAT hapa Maisha Magic Bongo!
Brother & Sister, filamu ya leo hapa MMBongo! Image : 7

BROTHER AND SISTER
5 APRILI 2016
12:20 EAT

Mark na dadake Liz ni mayatima. Wamerithi mali ya wazazi wao waliokuwa matajiri kabla ya kuaga dunia. Liz anpora mali yao kwa kunywa pombe na kujiburudisha kwa vilabu na disco! Hajali maisha yake ya baadaye! Nduguye mark anampenda sana dadake na kujaribu awezavyo kumsaidia. Je, atafaulu? Tazama kisa hiki leo saa 12:20 EAT hapa Maisha Magic Bongo!

Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.