Jovina ni mwanamke anaempenda sana mume wake lakini mume wake ana wanawake wengi sana. Jovina anamwekea mumewe mtego ili kuokoa ndoa yake. ULIMI. Saa saba unusu mchana hapa Maisha Magic Bongo!
Wasiliana nasi katika kurasa zetu za facebook, Twitter na WeChat.